Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa
heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William
Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta
jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa
Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto
katika uwanja wa michezo wa Kasarani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania
nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipiga picha ya pamoja na wasichana
waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta
na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe
Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja
wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi
wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na
wenyeji wao (picha zote na IKULU)