AIBU; AKINA MAMA WAVUA NGUO MBELE YA WATOTO









 
Tunakipeleka wapi kizazi cha leo
 





VIEW


NI aibu! Akina mama wawili akiwemo mtoto wa dada wa aliyekuwa kiungo mkabaji wa Timu za Simba na Yanga, marehemu Hamis Thobias ‘Gagarino’, aliyetajwa kwa jina moja la Rose wamevua nguo hadharani mbele ya watoto wakiwemo wa kuwazaa wenyewe, Ijumaa Wikienda linashuka nayo.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu, lilichukua nafasi nyumbani kwa marehemu Gagarino maeneo ya Kiwanja cha Ndege mjini hapa ambapo kulikuwa na harusi ya dada wa Rose iliyohudhuriwa na watu wa kada mbalimbali.
Wanawake hao ambao ni wake za watu, waliishangaza kadamnasi baada ya kusasambua huku wakiwa wamebeba watoto wao wadogo mgongoni.
Wakati wakivua nguo mbele ya watoto, walikuwa wakiserebuka muziki wa Taarab ndipo wakajikuta wakimdondokea mtoto ambaye nusura afe na kusababisha sherehe kugeuka kuwa msiba.
SOURCE :GLOBAL PUBLISHERS