PICHA MBALIMBALI ZA WAZIRI WA FEDHA MAPEMA LEO MJINI DODOMA

  Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  akionyesha mkoba wenye Bajeti ya Serikali ya  2012/13 Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012.
 Wapiga picha wakigombea  picha  ya Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa  wakati aliponyanyua mkoaba wa Bajeti ya Serikali ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012. 
 Waziri wa Fedha,Dkt.William Mgimwa akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia Bungeni kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka  2012/13, Mjini Dodoma Juni 14
 Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akisoma bajeti ya Serikali  ya 2012/13, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14, 2012
Mabalozi wa Nchi mbalimbali  waliohudhuria Bungeni kusikiliza Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2012/13 iliyosomwa na Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 14,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).