STEVE NYERERE KUZINDUA FILAMU YAKE BIAFRA


Mchekeshaji maarufu Tanzania Steve Nyerere ametangaza ujio wa filamu yake mpya ambayo amesema hii na filamu anaiamini itakuwa bora sana hasa kwa sababu ina maadili ya halisi za kiTanzania.

Amesema filamu hiyo ambayo ameipa jina Mwalimu Nyerere intarajiwa kuizindliwa katika viwanja vya Biafra ambamo uzinduzi wa filamu hiyo utasindikizwa na wasanii wa Bongo Fleva na kusindikizwa wakiwemo Mashujaa Band.
Shughuli hiyo itakua siku ya Tarehe 23 Jumamosi ,na anawasihi mashabiki wake wajitokeze kwa wingi