Huyu
ni mama wa Sylvester Stallone aka Rambo jina lake ni Jackie Stallone,
jina lake la kuzaliwa ni "Labofish'" picha hizi ni alivyo kuwa kwenye
red carpet iliyo fanyika katika ukumbi wa Grauman's Chinese Theatre,
huko hollywood CA alivyoenda kum suport mtoto wake Sylvester kwenye
premiere action movie ya The Expendables 2.![]() |
Family
affair: Sylvester Stallone was joined by wife Jennifer Flavin and
their three daughters, from left Scarlet, Sophia and Sistine
|

![]() |
Jackie
Stallone aka Labofish, aki pose mbele ya camera na akiachia tabasam
iliyo enda shule, midomo na sura kitu mchina hicho ana miaka 90 kazi
kwako ndugu msomaji je na wewe utaki kuzeeka???????

