Mkurugenzi
wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye
thamani ya sh.milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala jijini
Dar es Salaam leo, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za
wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la
Polisi.
Picha kwa hisani ya Habari msetoblog.