Heche Aisambaratisha CCM Keko

 
Jana mwenyekiti wa vijana  Taifa wa CHADEMA John Heche,alipokea wanachama zaidi ya 50 wakiwemo waliokihama CCM na kujiunga na chadema.Heche aliwapa kadi za chadema wanachama hao wapya akiwamo aliyekuwa mwenyekiti wa UWT kata ya magulumbasi A.CHADEMA inaendelea na programu zake za M4C nchi nzima








.