RIHANNA NA CHRISS BROWN WAPIGANA MABUSU KWA SANA TU NDANI YA MTV AWARDS..


Rihanna (kushoto) akibusiana na boifrendi wake wa zamani Chris Brown (kulia) wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki  la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
Rihanna (kushoto) na rapa A$AP Rocky wakitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki  la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
Rihanna akitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki  la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.
Rihannaakitumbuiza stejini wakati wa tamasha la tuzo za video bora za muziki  la MTV Video Music Awards 12 kwenye Ukumbi wa Staples Center mjini Los Angeles, California jana usiku Septemba 6, 2012.