
Kocha mkuu wa simba, Milovan alinaswa akigongea namba za simu kwa miss tanzania namba 2,2006, Jokate Mwegelo.....
Tukio hilo lilishuhudiwa na mwandishi 
wetu octoba tatu mwaka huu ndani ya uwanja wa taifa jijini dar muda 
mfupi baada ya mechi ya simba na yanga kumalizika......

Milovan alionekana akiomba namba za simu
 za mrembo huyo mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao 
yaliyohusisha mechi hiyo......
Simba  ndo ilitangulia  kufunga na baadae yanga wakasawazisha