RICK ROSS WA BONGO KUMPOKEA AIRPORT RICK ROSS WA MAREKAN


Rick Ross wa Bongo kumpokea airport Rick Ross wa Marekani, ama kweli duniani wa wili wa wili

Rick Ross wa Bongo huyu hapa
Rick Ross Kutoka USA na Rick Ross wa  Bongo

Rick Ross wa bongo ambaye ni "copy" and  "paste"  wa  Rick Ross wa   Marekani amejipanga vizuri  kumpokea Msanii  huyo  pindi atakapotua katika ardhi ya Tanzania tarehe 06 Oct 2012 kwa ajili  ya tamasha  la Fiesta pale Leaders Club