JICHO LETU

JICHO LETU

APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SHs. 100 YA MAJI


MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa


Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: JAMII, NEWS
Newer Post Older Post Home

FOLLOW ME ON FACEBOOK

Most Viewed

  • "MIMI NI MSANII WA KWANZA KUPANDA NDEGE TANZANIA"......DULLY SYKES
  • TATIZO LA ELIMU TANZANIA SIYO VIBOKO.....BORESHENI MIUNDO MBINU KWANZA BADALA YA KUFIKIRIA KUTEMBEZA VIBOKO
  • CHAKUA YAPANIA KUIBURUZA MAHAKAMANI SUMATRA BAADA YA KUPANDISHA NAULI ZA MABASI NA DALA DALA KIHOLELA
  • ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
  • Lulu Atishia Kunywa Sumu, Azuiliwa Kuuaga Mwili wa Kanumba
  • HAYA NDO MATUSI YA WABUNGE AMBAYO SPIKA AMEAHIDI KUWASHITAKI POLISI
  • Magazeti Leo Ijumaa
  • BINTI KIZIWI ATUPWA JELA MIAKA MITANO BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA
  • Dudu Baya aelezea sababu za kumpiga mtangazaji wa Kiss Fm
  • CHADEMA YABEBA KATA ZOTE NNE ZA ARUSHA
Simple theme. Powered by Blogger.