Sipati Picha.....Jumamosi hii hapa atasimama Lady Jay Dee na Machozi Band na pale atasimama Barnaba na Bendi yake.
Narudia ni jumamosi hii ya tarehe 9 june 2012 kuanzia saa 2 usiku ndani ya Nyerere Hall Gold Crest Hotel jijini Mwanza kwa kiingilio cha shilingi 20,000/= tu!!!
Ladies njooni mkiwa mmependeza tucheze muziki, tupate pix kwa Blogs, Face book na Twitter.
Na wanaume tujumuike kucheza muziki mkali wa Barnaba huku tukipaza sauti za kiitikio cha Magube-gube....tehe teeeee!!
UsKOsEeee!!