Yanga Bwana, Hata Bango Tu Linawashinda Kupiga Rangi!

.... . Hapo mpaka Yussuf Manji aje awape makopo ya rangi. Naam, Yanga bila Simba haiwezekani, lakini si kinyume chake!