LIGHTNESS MICHAEL NDO MSHINDI WA REDD'S MISS DODOMA


Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012, Lightness Michael (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na Mshindi wa Pili Berinda Mdogo (Kulia) na Mshindi wa Tatu wa taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Nulsa Magambo Mara baada ya Kumalizika kwa shindano hilo usiku wa kuamkia jana.
 Washiriki walioingia hatua ya tano bora
Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Redd's Miss Dodoma Wakiwa Katika Picha ya Pamoja kabla ya Kutangazwa Washiriki walioingia Tano Bora


Mshindi wa Kwanza wa Taji la Redd's Miss Dodoma 2012 Lightness Michael akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Shindano hilo.