Wema Sepetu "Superstar"
Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria
Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu |
Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee
Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV
Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo
Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema |
Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria. |
Omotola akiwa na Miriam Odemba