Lori lakubeba kifusi cha mawe aina ya Skania Namba T 525ACP Mali ya Bhanji , lililo katika breki na kushindwa kusimama katika Mteremko wa Nzovwe na kuenda kugonga Gari aina ya Prado ambapo Dereva wa Gari hilo dogo alifariki hapo hapo.
Gari
aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na
mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo.
Dereva wa Lori hilo Daudi akiwa amelazwa katika
hospitali hiyo ya Rufaa Mbeya
Picha kwa msaada wa mtandao wa http://mbeyayetu.blogspot.com