Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria kikao cha Ulinzi na
Usalama cha Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia. Kulia ni Rais
Robert Mugabe wa Zimbabwe
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa
wafanyabiashara kutoka nchini China Bwana Quan Zhezhu wakati
walipokutana jijini Addis Ababa Ethiopia.
Rais Dkr.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na ujumbe wa wafanyabiashara wakubwa kutoka China Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu