Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye uwanja wa Community Centre Mwanga, Kigoma
Habibu Ally wa kikundi cha Ujiji cha Sebene akicharaza kinanda akiwa chali wakati wa mkutano huo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Aggrey Mwanri akihutubia,
kwenye Uwanja wa Community Centre, Mwanga Kigoma. Chanzo: Bashir Nkoromo