msichana mwenye bahati ya kuitwa shemeji/wifi na watanzania si mwingine
bali ni mwanamuziki maarufu nchini humo Linet Masiro Munyali aka Size 8.
Hapo ndipo tunaweza kupata majibu ya kwanini hivi karibuni alisema
anafikiria kuhamia moja kwa moja nchini Kenya