Rapper
anayeiwakilisha vyema Mbeya City,Izzo Bizness amekutana Face 2 Face na
Mwimbaji mkali mwenye sauti ya hatari Belle 9 katika Ngoma yake mpya.
Izzo amefunguka na kusema yupo katika harakati za mwisho za ngoma mpya aliyomshirikisha Belle 9 na itatoka mwezi wa 8.
Ngoma
hiyo inaitwa UTARUDISHWA. Beat ya ngoma hiyo imetengenezwa na mwana
hiphop mkali rapper ONE THE INCREADIBLE, na ameingiza vocal katika
studio itwayo Dirty Mode Record chini ya Tris.