RAY AJIPANGA KUTOKA NA "WAVES OF SORROW"....
Msanii wa Bongo Movie almaarufu kama VICENT KIGOSI a.k.a Ray, baada ya kutamba na filamu kadhaa nzuri kama Sister Mary na nyingine kali sasa ameamua kuja na kitu kipya.Leo latest info mpya nyingine ambayo tumeipata kutoka kwa msanii
huyu ni kwamba anatarajia kuachia filamu yake mpya ambayo inakwenda kwa
jina la Wave of Sorrow.
Kwa hiyo kama wewe ni shabiki wa Bongo Movie kaa tayari kwa ujio mwingine kutoka kwa VICENT KIGOSI.