1.Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi muda
mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa dini
mjini Mbeya jana
2.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi wa dini mbalimbali aliowaalika katika futari katika ikulu ya
mjini Mbeya jana jioni.
3. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya magharibi
muda mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi mbalimbali wa
dini mjini Mbeya jana.Picha na Freddy Maro-IKULU