Mshambuliaji
wa Simba, Haruna Moshi 'Boban) akimtoka beki wa Azam Said Moradi
katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame uliofanyika kwenye
Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Simba, Uhuru Suleiman (kulia) akichuana na beki wa Azam, Said Moradi katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.