Mkazi
wa jiji la Dar es Salaam akimiminiwa Mbege katika "kata" maalum la
kunywea pombe hiyo ya asili ya Wachaga kutoka mkoani Kilimanjaro wakati
wa tamasha maalum la CHAGGA DAY lililofanyika katika viwanja vya Lidaz
jijini Dar es Salaam.
Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika viwanjavya Leaders jijini Dar es salaam jana,
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana
vimwana wa bendi ya twanga wakionyesha umahiri wao wakiongozwa Luiza Mbutu wakati wa chagga day.
Nyama choma ilikuwa yakutosha
masta
wa tamasha la chagga day (katikati) Mkurugenzi wa Kampuni ya
MyWayEntertainment, Paul Maganga pamoja na wadau wengine wakiwa kwenye
picha ya pamoja.
wadau wakifurahia utamu wa mbege.
wadau
mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto
Kiburu,ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio,
mtori, Kisusio navingine vingi