KEKO ATAPIGA SHOW KALI JIJINI MWANZA WEEKEND HII

Rapper wa kike wa nchini Uganda Keko anatarajiwa kupiga show weekend hii jijini Mwanza.
Taarifa hiyo ameitoa mwenyewe kupitia Twitter.
“TANZANIA ARE YOU READY!!! #KEKONIANS IN MWANZA #MAKEYOUDANCE COMING TO YOU THIS WEEKEND tell every & anyone KEKO Coming!!”
Hata hivyo mpaka sasa haijawa wazi ni nani anayempeleka jijini humo ama show itafanyika wapi kwakuwa hakuna matangazo yaliyotolewa