Ningependa kukufahamisha kuwa nimeingia kwenye top 10 ya multimedia award na hii inatokana na mchango wako wa blog yako na wadau wako wote.
Ahsante sana na naomba uwaambie Watanzania waniombee dua kwenye Miss World finals Leo jioni.
Asante
Lisa Jensen
Miss world Tanzania