MASTAA AVRIL NA MARYA WATAITIKISA CLUB BILLCANAS JUMAPILI HII
Avril
na Marya ambao ni mastaa wa hit single ya ‘Chokoza’ wamekubali mwaliko
wa kulimiki stage club Billicanas jumapili hii August 26 2012 kwenye
Extreem Bash na itakua ni mara yao ya pili kuja kufanya show pamoja
baada ya hiyo hit single ya ‘chokoza’.
Marya.