Mwakilishi wa Wabunge waliomaliza mafunzo maalumu ya muda mfupi ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)katika kambi ya RUVU Ester Bulaya akikabidhi risala kwa niaba ya wenzake kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana.
Wabunge walihudhuria mafunzo ya muda mfupi Ruvu JKT wakionesha walijifunza kwa vitendo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga risasi hewani kuashiria kuzundua mafunzo ya JKT kwa vijana katika kambi ya RUVU JKT yatakayo itwa Operesheni Miaka Hamsini.
Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa ufugaji kuku katika kambi ya Ruvu JKT leo(picha na Freddy Maro).