OPRAH WINFREY NI STAA PEKEE ANAYELIPWA MKWANJA MREFU ZAIDI DUNIANI

Malkia wa Talk Shows, Oprah Winfrey ametajwa kwenye jarida la Forbes kwa mwaka wa nne mfululizo kama staa anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani.
List nzima ya nyota 10 wanaolipwa zaidi kwa mujibu wa Forbes ni hii:

Forbes Top 10 Highest Paid Celebrities 2012

1. Oprah Winfrey, $165 million

2. Michael Bay, $160 million

3. Steven Spielberg, $130 million

4. Jerry Bruckheimer, $115 million

5. Dr Dre, $110 million

6. Tyler Perry, $105 million

7. Howard Stern, $95 million

8. James Patterson, $94 million

9. George Lucas, $90 million

10. Simon Cowell, $90 million