DIAMOND APATA MWALIKO WA DINNER TOKA KWA MISSY TAMEKE NCHINI MAREKANI

Baada ya show ya kukata na shoka Missy Tameke watoa mualiko wa Dinner kwa Muimbaji wa Kizazi kupya Diamomd pamoja na kundi lake la Safi.


Mwana muziki wa kizazi kimpya Diamomd akiwa na kundi la safi wakipata picha ya pamoja na Missy Tameke pamoja na Salma Jay Jay, kwa ajili ya kujianda na Dinner iliondaliwa Missy Tameke.

Missy Tameke pamoja, Salma Jay Jay pamoja na  Diamomd, wakipata picha ya pamoja kwenye ddinner ya pamoja iliofanyika jana Usiku wa Sept 3. 2012.

Kundi zima la mwana muziki wa kizazi kimpya Diamomd wakipata Dinner ya pamoja na Missy Tameke. baada ya show yao iliofanyika Sept1,2012

   
Missy Tameke kulia  pamoja, Salma Jay Jay kushoto wakiwa kwenye High table wakiwaza jambo kabla ya kupata dinner ya pamoja.

Missy Tameke  pamoja na rafiki zake wakinyanyua kilasi za upendo baada ya kumaliza Dinner ya pamoja
Mwana muziki wa kizazi kimpya Diamomd akipata picha ya pamoja na Kundi Zima la Mabanati wa Maryland. US