JUMBA LA EBSS 2012

 Hili ndilo jumba la kifahari la wshiriki wa EBSS ambapo watakuwa wakiishi katika kipindi chjote cha shindano lao. Ni jumba la kifahari lililosheheni kila aina ya vitu.

Picha hizi zinajieleza vile Jumba hilo lilivyo.
 Kiambaza
 Upande wa mbele
Huu ni upande wa nyuma ulio na bwawa la kuogelea.