TAARIFA KWA UMMA
UTANGULIZI:
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) linapinga tamko lililotolewana UVCCM kupitia Katibu Mkuu wake Martin Shigela kwenye vyombovya habari tarehe 28 na 29 Agosti 2012 za kuhusisha mauaji yaliyotokeaMorogoro tarehe 27 Agosti 2012 ya kijana Ally Hassan Singano (Zona).
BAVICHA inakemea pia kauli zilizotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano na Uratibu) tarehe 31 Agosti 2012 za kuhusisha CHADEMA
na siasa za umwagaji damu na inawataka vijana kujiandaa kwa hatua zaidi
iwapo Serikali itaifuta CHADEMA.
Aidha, BAVICHA.... Soma zaidi... http://www.kwanzajamii.com