Picha hiyo ya aibu, inamwonesha Doreen akiwa hajavaa nguo ya ndani na hivyo makalio yake kuonekana wazi huku akiwa anamnong’oneza kitu Chameleone.
Picha hiyo imeleta shida kubwa nchini Uganda na hata kudaiwa kuitikisa ndoa ya Chameleone.
Wakati yote haya yakitokea, Daniella na watoto wao wapo nchini Italia kwaajili ya mapumziko.
Hata hivyo Doreen amejitetea kupitia Facebook kuwa hakuwa amevaa hivyo makusudi.
“Those who criticized me on that dress, I was backstage dressing en besides those who matter accept me that way.”
Aliongeza,”I was dressing up from the backstage to go and model and among all the models, its only me they could see.