Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba
wakati walipokutana Mjini Mpanda Mwalimu Kasalamimba
alimfundisha Waziri Mkuu kuanzia mwaka 1960 darasa la tatu katika Shule
ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu