Kwa Hali ya kushangaza jana nimetumiwa wimbo ambao umeimbwa na Mwanza
All Star lakini wimbo huo umeibwa na undergrounds ...Nilitegemea kuwa
huo wimbo utakuwa umekusanya vichwa kama Fid Q, PNC, Dudu Baya, Kabago,H
baba na wengine wengi ambao ni Maarufu....
Wimbo huu umeibwa na wasanii kutoka mwanza ambao ni Sagna,Baraka,G,riko,Athuman,Saxena,Kijo na Seco Bwai,
Track imetengenezwa studio za Mbunda Records Zilizopo jijini mwanza .