Msanii Diamond Platnumz ambaye kwasasa unaweza kusema ndio msanii anayelipwa mkwanja mkubwa kupitia show zake anazofanya ndani ya Bongo.Latest infoz ni kuwa round hii anatarajia kutoka na ngoma mpya baada ya kutamba na ngoma zake kama “Moyo Wangu“, “Mawazo” na “Nimpende Nani” kutoka kwenye album yake ya pili kwa jina la Lala Salama.
Jana kupitia Facebook Fan Page yake, Diamond aliweza kupost ujumbe usemao, “NEWLY RELEASED TRACK: NATAKA KULEWA (NIACHE) DIAMOND PLATNUMZ” ikiwa inaonyesha ni ujio wa ngoma yake mpya. Hivyo mashabiki mkae mkao wa kula kupokea Hit nyingine kutoka kwa Rais wa Wasafi.