Siku hizi si jambo la kushangaza kuona mwalimu anatoka na mwanafunzi wake ili tu mwanafunzi
apate majibu kwenye mtihani. .........
Imekuwa
ni kawaida kabisa kwa wanafunzi kufanya mapenzi madarasani au
mabwenini. Lakini cha kushangaza walimu wapo na hawasemi lolote......
Kuweni makini wanafunzi .Ni bora mkakumbuka kuwa mmeenda shule
kusoma na siyo kufanya ngono na wanafunzi wenzenu au walimu wenu.
Naamini kwa picha hii, ujumbe utakuwa umeifikia jamii kuhusu maadili ya watoto wetu katika shule mbalimbali
MATUKIO HAYO MACHAFU YANAENDA SAMBAMBA NA KUPIGA PICHA CHAFU