Mwanadada aliyetengeneza jina kupitia shindano la kufatuta vipaji, Bongo Star Search 2008 na 2009,
Beatrice William aliamua kuokoka
siku ya juma tano tarehe 7/3/2012 katika ibada ya matendo makuu ya
Mungu, katika kanisa la Mikocheni B Assemblies of God (Mlima wa moto)
Akiongea na Mpekuzi wetu jana, Beatice amesisitiza kuwa uamuzi wake wa kuokoka ni wa dhati kabisa akiwa na akili
zake timamu.
"Mara nyingi nilipenda sana kuokoka lakini niliogopa kumbipu Mungu kama wengine wanavyofanya, "aliongea Beatrice na kuongeza
"Mara nyingi nilipenda sana kuokoka lakini niliogopa kumbipu Mungu kama wengine wanavyofanya, "aliongea Beatrice na kuongeza