STAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ameweka wazi kuwa
suala la udokozi wa pombe alipokuwa mdogo, ndilo lilipelekea awe
kikojozi.
Akifunguka mbele ya Mwandishi , Baby Madaha alisema kipindi anasoma shule ya msingi alikuwa akiiba pombe kwenye friji nyumbani na kubugia hivyo kumfanya ashindwe kujizuia usiku na kujikuta anakuwa kikojozi.

“Dah! Mama alikuwa anakasirika sana, ananichapa kishenzi bila kujua sababu kuwa ni pombe,” alisema Baby Madaha.
gpl