
KWA MJIBU WA MAELEZO YAKE, HAJUI ALIEMFANYIA HIVYO NI NANI? KWAKUWA HATA MILANGO HAIKUFUNGULIWA WALA HAKUSIKIA MAUMIVU YOYOTE JAPOKUWA WATOTO WAKE WALIMKUTA AKIWA AMEPOTEZA FAHAMU, KUTOKANA NA DAMU NYINGI ZILIZOMWAGIKA.
HATA HIVYO MZEE MNAMBA AMBAYE NI MSITAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKI, ANASEMA HILO NI PIGO LAKE LA PILI BAADA YA KUPATA UPOFU WA KUTOKUONA KATIKA MAZINGIRA TATA, ALIKUWA AKIUZA SAMAKI GHAFLA ALIHISI UPEPO MACHONI ALIPOFUMBA NA KUFUMBUA MACHO YAKAWA HAYAONI TENA HEBU MSIKILEZE KWENYE HIYO HAPO JUU ALIPOFANYA MAZUNGUMUZO NA ANTONY JOSEPH CHANZO: GUMZO LA JIJI