Wakati napita mtandaoni nimekutana na sakata la mrembo mmoja ambaye sote tunamjua kwa jina la Rayuu.......
Kulikuwa
na mjadala mkubwa kati yake na wadau kutokana na tabia yake ya
kupiga picha na kuziuza katika mahoteli makubwa........
Maoni ya wadau yanadai kuwa Rayuu alikuwa ni mwanafunzi wa IFM.....Baada ya kuendekeza ujinga chuo kilimshinda.......
Haya ndo maoni ya wadau katika mtandao huo:
chanzo mpekuzi blog