
Roma amekuwa kati ya wasanii wanaotumia sana mitandao ya kijamii vizuri kwa kueleza yake ya moyoni pale anapokuwa na kitu cha kusema.
Kupitia akaunti yake ya facebook, Roma alikuwa na haya ya kusema kuhusu kile kilichotokea na kumfanya aperform chini ya kiwango chake huko Dodoma siku ya Ijumaa iliyopita.
"PAZIA LINAFICHA MENGI SANA!! WATU WASIOFAHAMU MUZIKI NDO WANAPEWA VITENGO MUHIMU KATIKA HII SANAA YETU...
FINALLY THEY DESTROY THE WHOLE SYSTEM!! INAUMAJE YAANI..
.LAITI
UKWELI UNGEPEWA NAFASI BASI WATU WENGI SANA WANGEAIBIKA DUNIANI HUMU!!!
POLE DJ CHOKA KWA KILICHOKUKUTA DODOMA JANA KWENYE SHOW YA INTERCOLLEGE
ROYAL VILLAGE PALE!!
SAMAHANI
PIA WANA DODOMA KWA MIMI KUPERFORM CHINI YA KIWANGO (NILILIONA HILO).
NYUMA YA PAZIA KUNA MENGI SANA MSIYOYAJUA (BACK STAGE).
DAKIKA
CHACHE WAKATI MR BLU ANAMALIZIA KUPERFORM THEN NIENDE MIMI KUMALIZA
SHOW. HUKU NYUMA YA JUKWAA KULITOKEA ZENGWE, KWAMBA DJ CHOKA AMBAYE SIKU
ZOTE AMEKUWA NDIYE DJ WANGU COZ A KNW WAT HE GAT!! WALIMKATALIA
ASIPANDE NA MIMI NA BADALA YAKE NIPANDE MWENYEWE NA DJ WAO, KWA SABABU
AMBAZO HAWAKUZITOA(PENGINE NI SABABU BINAFSI) NA MKATABA HAUKUSEMA
HIVO!!
SIKUKUBALI
HILI NA NDIPO HAPO WALIPO NIVURUGA AKILI, TENA WAKASEMA KAMA HUTAKI
ACHA KUFANYA SHOW, KIUKWELI NILIACHA NA KUANZA KUSEPA NA KUELEKEA
HOTEL(KAMA NI MBWAI MBWAI watanga twasemaga)
KWA
BUSARA ZA GODZILLA AKASHAURI NISISEPE NIKUBALI KUFANYA!! MIMI
SIKUKUBALI KUFANYA BILA CHOKA!! SAWA NAWEZA FANYA SHOW NA DJ YEYOTE NA
HUWA NAFANYAGA HIVO... BUT KWA HILI NILISHAWAMBIA NAJA NA CHOKA NA
WAKAKUBALI NA KUMUWEKA KWENYE BAJETI YAO!!
KWANINI WAKATAE MWISHONI!!!??
HATA D.N.A WALIMFANYIA HIVO NASIKIA NA WAKAMWAMBIA APANDE BILA DJ WAKE. NA YEYE ALIKUBALI!! (HALIKUNIPENDEZA HILI KWAKWELI)
THANX
GOD NILIKAZA HADI WAKASANDA NA NIKAPANDA NA CHOKA(NDIYO MAANA
TULICHELEWA KUPANDA HADI WENGINE MKAANZA KUSEPA SOORRY DODOMA).
LAKINI SIKUWA KWENYE MOOD POA KAMA NILIYOKUJA NAYO WALIKUWA WAMESHANIKATA, SO NIKAPERFORM KIBWEGE SANA.
.LAKINI NILIFANYA BUSARA KULIKO NINGESEMA NISIFANYE KABISA...MAANA HAMJUI YANAYOTOKEA NYUMA YA PAZIA!!!
TUNAKUMBANA NA MITIHANI MINGI SANA LAKINI TUNAIPIGA VITA...ILI TUMAINTAIN NAFASI TULIYOPO.
SIJUI KWANINI NAPATA VIKWAZO KTK SHOW ZANGU ZA ROUND HII!!
MUNGU TUONGEZE IMANI NA NGUVU NA HEKIMA NA BUSARA KATIKA KAZI ZA MIKONO YETU!!!
MTWARA KESHO NIPO NA NYINYI HAPO..TUONE ITAKUWAJE!!
ROMA 2030"