Mapacha wa kundi la P-Square la nchini Nigeria hatimaye wamefunguka
kuzikanusha tetesi kuwa walimtoa kafara mama yao mzazi ili watajirike na
kufanikiwa zaidi kimuziki.
Katika mahojiano exclusive na gazeti la Vanguard la nchini Nigeria, Peter na Paul wamesema,
“Basi, ni mbaya sana kusikia kuwa watu wanatushutumu kwa kuhusika na kifo cha mama yetu. Hatumlamu mtu yeyote. Watu wako huru kusema chochote wanachotaka kusema. Tunashangaa kama kuna kitu chochote kitakachotufanya tuchukue maisha ya mama yetu mpendwa.

Maisha yake hayawezi kupimwa kwa fedha na umaarufu. Hivyo jibu letu
kwa swali hili ni kwamba hatuhusiki na kifo cha mama yetu. Tunakilaumu
tu kifo kilichomchukua mbali nasi ambacho kama si chenyewe watu
wasingekuwa wanatunyooshea vidole. Alifariki baada ya ugonjwa wa muda
mfupi.”