WASANII WA BONGO WALIVYOIPAMBA SERENGETI FIESTA 2012

Msanii Diamond akilishambulia jukwaa la Fiesta
Linah nae akifanya vitu vyake jukwaani.
Msanii Ommy Dimpoz na kundi lake wakionyesha machejo yao stejini.
Shetta akiwarusha mashabiki ndani ya Leaders Club
Wasanii wa kundi la Wanaume Family wakifanya vitu vyao stejini.