Kinana akimsalimia Fatma Mwasa, Wengine, Nape, Khatib na Mwanri.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia viongozi wa mkoa
wa Tabora alipotua kwa muda mkoani humo akiwa akitoka Rukwa kwenda Geita
asubuhi hii
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana (kulia) akipotua kwa muda mkoani humo akiwa akitoka
Rukwa kwenda Geita asubuhi hii