Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha kamishna Msaidizi wa Polisi
Liberatus Sabas akionyesha sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ0
ambazo zilikutwa kwenye begi la watu watano ambao wanasadikiwa kuwa ni
majambazi .Tukio hilo lililtokea katika eneo la Olmatejoo jijini Arusha
leo asubuhi na Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwajeruhi kwa risasi Watatu
kati yao ambao baadae walifariki dunia wakiwa wanapelekwa hospitali
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishna
Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akionyesha bunduki zilizokutwa kwenye
begi la watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi ambapo watatu kati
yao walijeruhiwa kwa risasi na askari wa jeshi la Polisi na kisha
kufariki dunia wakiwa wanapelekwa hospitali leo asubuhi
.
.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa
Polisi Liberatus Sabas akionyesha kitako cha bunduki aina ya Rifle
iliyokutwa kwenye begi la watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watatu kati yao walijeruhiwa kwa risasi na askari wa jeshi la polisi na
kisha kufariki dunia leo asubuhi (Picha na Mahmoud AhmadArusha)