Ndugu Mhoja Luchagula kushoto na Maganga Emanuneli wakiwa na furaha mara baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza katika mahafali yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha dodoma
Fadhili Mshamu kushoto akipongeza Mhoja Luchagula kwa kupata shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha DODOMA
Kutoka kushoto ni Mhoja Luchagula,Kessy Ronald,Maganga Emmanuel na Chande Abdallah wakiwa na furuha kwa kupata shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha DODOMA wote toka katika college of Humanities
Salumu Nyamwese akiwa na mama mzazi pamoja na ndugu yake mara tu baada ya kutunikiwa shahada ya kwanza katika chuo kikuu cha DODOMA toka college of Informatics
Ndugu Juma Chango kushoto akimpongeza Dedema Siliaku katika mahafali ya chuo kikuu cha DODOMA ndugu Dedema anatoka katika college of informatics