Dunia imebadilika sana.Umewahi kujiuliza ni kwa nini mtoto wa form two hawezi kukusalimia SHIKAMOO?? na badala yake atakwambia "MAMBO..!!!"????.......
Akupe shikamo ya nini na wakati na yeye anajiona mkubwa ? Maana yangu ni kuwa hakuna asilolijua. Kama ni KISS anaijua, kama ni MAPENZI anajua.hahahahhahah...!!!
Picha Za Wanafunzi wakifanya VituAjabu sasa zimesambaa kute Mtandaoni...Sujui Tunaenda Wapi sasa loooooo