Taswira Kwenye Kikao Cha NEC CCM
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana
na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya leo katika ukumbi wa
NEC-Dodoma.
Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC.
Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia
mkutano mkuu wa CCM .
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe
wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama