Diamond Amekanusha Uvumi kuwa anamahusiano ya Kimapenzi na
Jaqueline Wolper Nakusema Kuwa Picha zilizo onyweshwa kwenye magazeti
ni za video ya Keisha 'Nimechoka' aliyo Shirikishwa Diamond. Plantnumz
amesema video shoot ya wimbo huu ilianza Miezi miwili iliyopita na kuja
kukamilika wiki Mbili zilizo pita na ndio scene ya video hio
inamuonyesha akiwa karibu na Wolper.
Pia
Diamond amesema Msichana yoyote atakaye sema ni Girl Friend wake kwa
sasa Ni Muongo kwani yeye yupo single kwa sasa na hana mpango wa
kutangaza Mpenzi wake atakaye mpata.
Hivi karibuni Diamond Alikaririwa na
sammisago akisema `Simba akiwa Karibu na Swala, Watu wanadhani
Anamla, Ila Kuna Muda Simba Anashiba'